Sheria na Masharti ya Ziada ya Studio ya Bidhaa

Ili utumie Studio ya Bidhaa (“Studio ya Bidhaa”), ni sharti ukubali:

  1. Sheria na Masharti ya Google
  2. Sheria na Masharti haya ya Ziada ya Studio ya Bidhaa

Tafadhali soma kwa umakini kila mojawapo ya hati hizi. Kwa pamoja, hati hizi zinajulikana kama “Sheria na Masharti.” Zinabainisha kile unachoweza kutarajia kutoka kwetu na tunachotarajia kutoka kwako unapotumia hudumazetu.

Tunakuhimiza pia usome Sera yetu ya Faragha.

Sera ya Faragha itakuruhusu kuelewa vyema jinsi unavyoweza kusasisha, kudhibiti, kuhamisha na kufuta taarifa zako.

Tabia zisizokubalika. Kando na masharti yaliyo katika sehemu ya "Kuheshimu Wengine" kwenye Sheria na Masharti ya Google, sharti utii Sera zetu za Matumizi Yasiyokubalika ya AI Zalishi na ukubali kutofanya yafuatayo:


Product Studio Additional Terms of Service

To use Product Studio ("Product Studio"), you must accept:

  1. Google Terms of Service
  2. These Product Studio Additional Terms of Service

Please read each of these documents carefully. Together, these documents are known as the "Terms." They establish what you can expect from us as you use our services, and what we expect from you.

We also encourage you to read our Privacy Policy.

The Privacy Policy will allow you to better understand how you can update, manage, export, and delete your information .

Prohibited conduct. In addition to the "Respect others" section in the Google Terms of Service , you must comply with our Generative AI Prohibited Use Policy and agree not to: